Vyakula Vyetu

Darasa la 1 · Kiswahili · Vyakula Vyetu
Vyakula vyetu ni ugali, wali, mkate, mayai, samaki, maziwa, mboga na matunda. Tunakula chakula chenye afya ili tukue vizuri. Matunda ni kama ndizi, chungwa na embe. Tunanawa mikono kabla ya kula.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele