Wanyama wa Nyumbani na wa Porini
Darasa la 1 · Kiswahili · Msamiati (Wanyama)
Easy
Medium
Hard
Wanyama wa nyumbani: ng'ombe, mbuzi, kuku, paka, mbwa, kondoo. Wanyama wa porini: simba, tembo, twiga, pundamilia, chui. Ng'ombe hutupa maziwa. Kuku hutupa mayai.
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele