10.1.1 Ushairi Simulizi: Maghani ya Kawaida

Grade 10 · Fasihi ya Kiswahili · Mada 10.1: Fasihi Simulizi
Maghani ni ushairi simulizi unaoghaniwa, si kuimbwa. Aina ni majigambo, vivugo, tondozi, sifo na mawaidha. Hutumia sauti, ishara, takriri na taswira.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele