4.2.1 Uchambuzi wa Mashairi: Dhamira na Ujumbe

Grade 10 · Fasihi ya Kiswahili · Mada 4.2: Ushairi
Dhamira ni msukumo wa mshairi wa kutunga. Ujumbe huelekezwa kwa jamii. Mshairi hutumia toni, mandhari na wahusika (nafsi neni) kufikisha ujumbe.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele