1.3.1 Utangulizi wa Bunilizi

Grade 10 · Fasihi ya Kiswahili · Mada 1.3: Bunilizi
Bunilizi ni fasihi andishi ya kubuni inayojumuisha riwaya, tamthilia na hadithi fupi. Ina wahusika, mandhari, msuko, maudhui na mtindo.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele