3.3.1 Tamthilia: Wahusika na Mandhari

Grade 10 · Fasihi ya Kiswahili · Mada 3.3: Bunilizi
Wahusika ni watendaji katika tamthilia; mandhari ni mahali, wakati na hali ya jamii. Wahusika huainishwa kuwa wakuu, wasaidizi, bapa au duara.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele