5.3.1 Tamthilia: Muundo na Mtindo (Mbinu za Kisanaa)

Grade 10 · Fasihi ya Kiswahili · Mada 5.3: Bunilizi
Mbinu za kisanaa katika tamthilia ni kejeli, ucheshi, taharuki, kisengerenyuma, takriri, ishara na methali. Huongeza ujumbe na burudani.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele