3.1.1 Semi: Utangulizi

Grade 10 · Fasihi ya Kiswahili · Mada 3.1: Fasihi Simulizi
Semi ni tungo fupi za kisanaa zenye maana ya kina. Tanzu zake ni methali, vitendawili, nahau, misemo, mafumbo na vitanza ndimi.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele