5.1.1 Mazungumzo: Utangulizi

Grade 10 · Fasihi ya Kiswahili · Mada 5.1: Fasihi Simulizi
Mazungumzo ni tanzu ya fasihi simulizi inayohusisha mawasiliano ya watu wawili au zaidi. Aina zake ni malumbano ya utani, mahojiano, soga, mdahalo na hotuba.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele