Haki Zangu
Darasa la 2 · Kiswahili · Haki Zangu
Easy
Medium
Hard
Mtoto ana haki ya kupata chakula, mavazi, makao, elimu, afya na ulinzi. Pia ana haki ya kupendwa na kucheza. Wajibu wa mtoto ni kutii wazazi, kusoma kwa bidii na kutunza mali. Mtoto asinyanyaswe.
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele