Kusoma Hadithi Fupi: Ukoo Wetu
Darasa la 2 · Kiswahili · Kusoma (Ufahamu)
Easy
Medium
Hard
Soma: 'Likizo ilipofika, Neema na kaka yake Brian walisafiri kumtembelea babu na bibi kijijini. Walikuta shangazi yao akipika ugali. Binamu zao walicheza nao uwanjani. Jioni, babu alisimulia hadithi nzuri. Walilala wakiwa na furaha.'
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele