Mnyama Nimpendaye

Darasa la 2 · Kiswahili · Mnyama Nimpendaye
Wanyama wa porini ni simba, tembo, twiga na duma. Wanyama wa nyumbani ni ng'ombe, mbuzi, kuku na paka. Mnyama hula majani (mlamimea) au nyama (mla nyama). Twiga ana shingo ndefu na tembo ana mkonga.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele