Nyumbani: Vyumba na Vifaa

Darasa la 2 · Kiswahili · Msamiati (Nyumbani)
Vyumba: sebule, chumba cha kulala, jiko, bafu, choo. Vifaa: kitanda, meza, kiti, sufuria, sahani, kijiko, kikombe, ndoo, ufagio. Mama anapika jikoni. Tunalala chumbani.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele