Darasa la 3 · Kiswahili · Msamiati (Wanyama wa Kufugwa)
Wanyama wa kufugwa: ng'ombe (maziwa, nyama), mbuzi (maziwa, nyama), kondoo (nyama, sufu), kuku (mayai, nyama), bata, nyuki (asali). Hupewa chakula, maji na makazi. Zizi ni makazi ya mifugo; banda ni la kuku.