Maneno ya Adabu na Salamu
Darasa la 4 · Kiswahili · Kusikiliza na Kuzungumza (Adabu na Salamu)
Easy
Medium
Hard
Salamu: Hujambo? Sijambo. Habari za asubuhi? Nzuri. Shikamoo (kwa mkubwa) - Marahaba. Maneno ya adabu: tafadhali, asante, karibu, samahani, pole, kwaheri, pongezi.
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele