Methali na Maana Zake

Darasa la 4 · Kiswahili · Kusoma (Methali na Nahau)
Methali ni msemo mfupi wenye hekima. Haba na haba hujaza kibaba. Mwenda pole hajikwai. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Subira huvuta heri. Haraka haraka haina baraka. Penye nia pana njia. Mkono mmoja haulei mwana.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele