Viwakilishi vya Nafsi
Darasa la 4 · Kiswahili · Sarufi (Viwakilishi)
Easy
Medium
Hard
Viwakilishi ni maneno yanayochukua nafasi ya nomino. Vya nafsi: mimi (nafsi ya kwanza umoja), sisi (wingi), wewe (nafsi ya pili umoja), ninyi (wingi), yeye (nafsi ya tatu umoja), wao (wingi). Mfano: Juma anacheza - Yeye anacheza.
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele