Wanyama wa Porini
Darasa la 4 · Kiswahili · Wanyama wa Porini
Easy
Medium
Hard
Wanyama wa porini ni kama simba, chui, tembo, kifaru, nyati, twiga, pundamilia, kiboko na swala. Huishi katika mbuga za wanyama kama Maasai Mara na Amboseli. Wanyama hawa huvutia watalii na kuleta pesa nchini. Hatupaswi kuwawinda kinyume cha sheria.
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele