Nahau na Maana Zake

Darasa la 5 · Kiswahili · Msamiati (Nahau)
Nahau ni maneno yenye maana tofauti na maana ya kawaida. Mifano: kupiga mbio (kukimbia); kuvunja moyo (kukatisha tamaa); kupiga moyo konde (kuthubutu); kuwa na mkono mrefu (kupenda kuiba); kupiga domo (kuzungumza sana).
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele