Darasa la 5 · Kiswahili · Sarufi (Ngeli ya PA-KU-MU)
Ngeli ya mahali: PA (mahali maalum karibu), KU (mahali pasipo maalum), MU (ndani ya mahali). Mifano: Hapa pazuri. Kule kuzuri. Mle ndani mnanukia. Viambishi: pa-, ku-, mu-. Mahali hapa panapendeza.