Vinyume: Maneno Yenye Maana Kinyume
Darasa la 5 · Kiswahili · Msamiati (Vinyume)
Easy
Medium
Hard
Vinyume ni maneno yenye maana kinyume. Mifano: mrefu - mfupi; mkubwa - mdogo; mwema - mbaya; kuingia - kutoka; kufungua - kufunga; kuja - kwenda; mchana - usiku; tajiri - maskini; mwerevu - mjinga.
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele