Mahusiano: Kusoma kwa Ufasaha

Gredi 6 · Kiswahili · 3.0 Mahusiano · Kusoma
Kusoma kwa ufasaha ni kusoma kwa matamshi bora, kasi inayofaa, sauti inayosikika na kuzingatia alama za uakifishi. Tunaweza kusoma hotuba au habari kwa ufasaha.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele