Mahusiano: Kuandika kwa Kutumia Tarakilishi

Gredi 6 · Kiswahili · 3.0 Mahusiano · Kuandika
Tarakilishi ina aina za maandishi: chapa koza (nzito), italiki (yaliyoinama) na yaliyopigiwa mstari. Tunatumia ishara kuchagua aina ya maandishi.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele