Mahusiano: Uakifishi
Gredi 6 · Kiswahili · 3.0 Mahusiano · Sarufi
Easy
Medium
Hard
Alama za uakifishi huwezesha kusoma na kuelewa. Ni nukta (.), koma (,), alama ya kuuliza (?), alama ya mshangao (!) na alama za mtajo (" ").
Next question →
Play again
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret
← More free lessons on Masomotele