Mahusiano: Viwakilishi vya Idadi

Gredi 6 · Kiswahili · 3.0 Mahusiano · Sarufi
Viwakilishi vya idadi huonyesha kiasi: wengi, wachache, wawili, watatu, kumi. Mfano: Wengi walifika lakini wachache walichelewa.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele