Michezo ni shughuli za kujiburudisha na kuimarisha mwili. Mifano ni mpira wa miguu, wavu, kikapu, netiboli, riadha na kuogelea. Faida za michezo ni afya, ushirikiano, nidhamu na urafiki. Wachezaji hufuata sheria na huchezea haki. Mwamuzi husimamia mchezo.