Kauli ya Kutendana: -an-

Darasa la 7 · Kiswahili · Sarufi (Kauli ya Kutendana)
Kauli ya kutendana huonyesha watu wawili au zaidi wanatendeana jambo (kufanyiana). Kiambishi ni -an-. Mifano: piga - pigana; penda - pendana; saidia - saidiana; ona - onana; ongea - ongeana; andikia - andikiana.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele