Aina za Fasihi Simulizi: Hadithi na Ngano

Darasa la 8 · Kiswahili · Fasihi Simulizi (Hadithi)
Fasihi simulizi hupitishwa kwa mdomo. Aina: ngano (hadithi za kubuni zenye mafunzo, mara nyingi za wanyama), visasili (hadithi za asili ya mambo), mighani (hadithi za mashujaa), tarihi (hadithi za matukio halisi ya kihistoria) na hekaya (hadithi za kubuni za burudani, k.m. Abunuwasi).
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele