Nahau na Misemo ya Darasa la 8

Darasa la 8 · Kiswahili · Msamiati (Nahau)
Kupigwa na butwaa: kushangaa sana. Kuwa na kichwa kigumu: kutokubali kushauriwa. Kuuma na kupuliza: kuonekana mwema huku ukidhuru. Kupiga moyo konde: kuthubutu. Kuvunja moyo: kukatisha tamaa.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele