Uhalifu wa mtandaoni ni makosa yanayofanywa kwa kutumia kompyuta au mtandao, kama udukuzi, udanganyifu wa kifedha, uonevu mtandaoni na kusambaza maudhui haramu. Tunajikinga kwa kutumia nywila imara, kutofungua viungo vya kutiliwa shaka, kutoshiriki taarifa binafsi na kuripoti kwa wazazi, walimu au polisi.