Ukanushaji wa Hali ya Masharti na Mazoea

Darasa la 8 · Kiswahili · Sarufi (Ukanushaji)
Hali ya masharti (-ki-): Ukisoma utafaulu - Usiposoma hutafaulu. Hali ya -nge-: Angesoma angefaulu - Asingesoma asingefaulu. Hali ya mazoea (hu-): Mimi husoma kila siku - Sisomi kila siku. Ukanushaji wa wakati timilifu: Nimesoma - Sijasoma.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele