Barua ya Kuomba Kazi na Wasifu

Darasa la 9 · Kiswahili · Kuandika (Barua ya Kuomba Kazi)
Barua ya kuomba kazi ina anwani ya mwandishi, tarehe, anwani ya mpokeaji, salamu (Ndugu Mkurugenzi,), kichwa (YAH: OMBI LA KAZI YA ...), kusudi, sifa na uzoefu, viambatisho (vyeti, wasifu), hitimisho (Wako mwaminifu,), jina na sahihi. Wasifu (CV) hujumuisha elimu, uzoefu, ujuzi na wadhamini (referees).
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele