Nahau za Darasa la 9

Darasa la 9 · Kiswahili · Msamiati (Nahau)
Kutia fora: kufanya vizuri sana. Kuchukua hatamu: kuchukua uongozi. Kukata kauli: kuamua kabisa. Kuvunja moyo: kukatisha tamaa. Kupigwa na butwaa: kushangaa sana. Kuuma na kupuliza: kuonekana mwema huku ukidhuru.
Free for every Kenyan learner · M.T.T.I Eldoret

← More free lessons on Masomotele